He came to our studio 4 photo shoot. |
Bahati nae hakukosekana.. |
Papaaaa Johniii, Mutu Ya Watu.... |
Kama Kawaida.. |
Tukafika Eneo La Tukio, Wenyeji Wakiwasubiri wageni wao.. |
Hatimae Wageni Wakafika |
Karibuni Sana.. |
Capt. Riwa Akilonga na Wageni wake |
John Akiwa Na Mkurugeni Leslie.. |
Ikapigwa sala kabla ya shughuli kuanza.. |
Ukafata Utambulisho Mfupi.. |
Danny, Leslie na Fred Riwa |
Wakuu Wa Kitengo |
Dr. Anneline Nae Alikuwepo |
MC Akipewa Maelezo Kidogo |
Mama Riwa |
MC Akikaribisha Wageni Ndani |
Wageni Wakakaribia Ndani.. |
Wenyeji.. |
Wageni.. |
Hivi Ndivyo Ilivyokua.. |
Baba Mdogo Akifafanua jambo.. |
Wageni wakisikiliza kwa Makini.. |
Koti La Babu Na Kitenge Cha Bibi.. |
Chukua Hizi.. |
Hesabu Kabisa hapa hapa.. |
"Count Your Money Before Leaving The Counter" CYMBLC |
Babu Na Bibi Wavipate Hivi.. |
"Isale" Symbol of peace.. |
Mwwwaaaahhh.. |
Bro Akihakiki Kama Zimetimia.. |
Asante sana.. |
Tukamshukuru Mungu.. |
Asanteni sana.. |
Jamani Tunataka Kumuona John.. |
Mimi Ndio John Mzee.. |
Sis Marry |
Friends.. |
John John.. |
Sehemu Ya Watu Waliofika.. |
Mwali Akiletwa Na dada zake.. |
John Akihakiki Kama Ndio Mwenyewe.. |
Ndio Yeye...Grace aka Baby.. |
Mapaparazzi nao hawakua nyuma.. |
John Akifungua Kitu.. |
Taraaaaaaaaa, Its A Ring!!!!!!! |
Chukua Hii "Baby" Wangu.. |
And....The Kiss |
Mama Akaja Kumpongeza Mpora.. |
Hongera sana.. |
Mawifi Nao Wakitoa Pongezi.. |
Watarajiwa rasmi.. |
Bling Bling..Money Aint A Thing.. |
Sana Tuu...Swagga Za Uchumba.. |
Very Lovely Ring, And The Hand Wearing It Ofcourse..John Unatisha. |
Swagga La Kudeka.. |
Need U Say More.. |
Hapa Amekosekana Leila Tu.... |
Dinner Time.. |
Misosi Heavy.. |
Cheers, Am Signing Out.. |