WEDDINGS

Thursday, March 8, 2012

Daniel Tie Knots With Herieth..

Naomba Kuwakilisha Mambo Yalivyokua Siku Hiyo, Enjoy...
Wow...Love this..

Daniel & Herieth..

 

Dany Mwenyewe, Very Nice..

Nice..

First Class...

Lovely...
La Familia..

Super Beautiful..

Simply Incredible...



Vintage Classic




Gents..Looking Sharp!

Ladies...Looking Gorgeous..



Bling..


Loreen Nae Hakucheza Mbali..

Family..

With Maids..

With "The Boys"...

Hakika Bi. Harusi Umependeza..

Swagga la Saloon...


Tegeta Roman Catholic Church..




Dany akimtandika pingu Herieth..

Herieth nae akimfunga Pingu Dany..

 Dany Akisign Contract...

Herieth Akimwaga Wino..

Sasa ni mume na mke kamili...

Mwisho wa kuwakilisha jamani, Meku Productions Inawatakia Daniel na Herieth Maisha mema ya ndoa na yenye upendo tele. May God Bless You All...